@samai_machinery
KIWANDA CHA KUZALISHA SEMBE.( MAIZE FLOUR MILLING PLANT ๐น๐ฟ)
Uwezo: 60Tons/ Kwa siku.
Hiki ni kiwanda kikubwa tulicho tengeneza kwaajili ya kuzalisha unga wa sembe..!!
MFUMO UPO KAMA IFUATAVYO!!
1. Sehemu ya kwanza ya picha ni Bucket area ambapo mahindi huwekwa na kupandishwa na mashine iitwayo (Elevator). Hapa mahindi hupandishwa juu kuelekea kwenye mashine ya Kupepeta.
2. Sehemu ya pili ni mashine ya kupepeta (Shaking Table): Hapa mahindi hufika na husafishwa kwa maadalizi ya kwenda kuloeshwa na kwenda kwenye mashine ya kukobolewa.
2.1. Sehemu ya tatu ni (Auger transfer) : hapa mahindi hupelekwa kwenye tank na kuhifadhiwa kwa maandalizi ya kukobolewa.
3. Sehemu ya tatu ni Mashine ya Kukoboa: Hapa mahindi hupata kukobolewa kwa maandalizi ya kwenda kuhifadhiwa kwenye tank kwaajili ya kuhifadhiwa.
3.1. Sehemu ya tatu ni mashine ya kupandisha (Auger): Hapa pumba hupelekwa nje na mahindi hupelekwa kusagwa kwenye tank kwa maandalizi ya kusagwa.
4. Sehemu ya nne ni Mashine ya Kusaga (Grinding M/c:) Hapa mahindi hupatwa kusagwa na kuelekea kufanyiwa packing.
SAMAI MAKES YOUR FUTURE BRIGHT๐น๐ฟ
SIMU/WHATSAPP: +255746498349
#sido #ujenzieatv #startv #channelten #wasafi #itvtanzania #tbc1 #tbc #tirdo #madiniyadhahabu #dhahabu #nachingwea #gairo #chunya #makongorosichunya #karasha #ballmillmachine #ballmill #mahenge #lolya #mererani #mereranimining #mereraniarusha #igawilo #kusaganakukoboa #kusaga #kukoboamahindi #kukoboa #ricebran #pumbazamchele