takeer.com

Takeer

Takeer - IJUE DUNIA YA VIWANDA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟโš’๏ธ

Uwekezaji katika Viwanda ni moja ya sekta nzuri sana katika kukuingizia kipato cha kila siku ususani kwenye tasnia ya...
takeer.com
@samai_machinery
IJUE DUNIA YA VIWANDA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟโš’๏ธ

Uwekezaji katika Viwanda ni moja ya sekta nzuri sana katika kukuingizia kipato cha kila siku ususani kwenye tasnia ya chakula na lishe kwa binadamu na wanyama.

Watu wengi wamekua wakiwaza umiliki wa kiwanda ni lazima uwe na maeneo makubwa sana hii imepelekea jamii yetu kutokua na uthubutu katika kuwekeza katika Tasnia hii

SAMAI AGRO tumewaletea Mashine wajasiliamali wadogo na wakati wenye ndoto ya kumiliki viwanda vya kuzalisha chakula na nafaka kama vile sembe na lishe kwa gharama nafuu zaidi.

ZIFUATAZO NI GHARAMA ZA MASHINE KATIKA
UMILIKI WAKE.

MASHINE YA KUSAGA MAHINDI.
SIZE: 75HM
BATI: 6mm, Housing 2mm.
UWEZO: 700Kg/Saa
MOTOR 30Hp: 1,500,000.
RELI: 300,000.
KINU: 1,500,000.
JUMLA: 3,300,000.

MASHINE YA KUKOBOA MAHINDI
AINA/SIZE: ROLLER 3
BATI: 2mm
ANGLE: 6mm
UWEZO: 700kg/Saa
MOTOR 30Hp:1,500,000.
RELI: 300,000.
KINU: 1,500,000.
JUMLA: 3,300,000.

โ˜Ž๏ธ| SIMU/WHATSAPP: +255746498349
๐Ÿ“|SEHEMU: TABATA DAMPO, DAR ES SALAAM.

#dar #bagamoyo #kibaha #morogoro #pangani #kabuku #dodoma #iringa #mbeya #makambako #njombe #mafinga #songea #lindi #mtwara #masasฤฑ #mwanza #mwanzacity #kondoa #efta #sido #tbc #cloudstv #startv #sumajkt #jwtz #sembe #mahindi #nafaka
takeer.com
Play
takeer.com
takeer.com
takeer.com
Play
takeer.com
Play
takeer.com
Play
takeer.com
Play