takeer.com

Takeer

Takeer - JE WEWE NI MJASIRIAMALI MDOGO AU WAKATI NA UNA NDOTO YA KUANZISHA KIWANDA CHA KUZALISHA SEMBE, DONA AU VIUNGO KWAAJILI YA MAUZO YA JUMLA NA REJAREJ...
takeer.com
@samai_machinery
JE WEWE NI MJASIRIAMALI MDOGO AU WAKATI NA UNA NDOTO YA KUANZISHA KIWANDA CHA KUZALISHA SEMBE, DONA AU VIUNGO KWAAJILI YA MAUZO YA JUMLA NA REJAREJA.???

SAMAI AGRO MACHINERY INAKULETEA MASHINE YA KATI YA KUSAGA NA KUKOBOA MAHINDI ( SIZE 75 NA ROLLER 3 ) YENYE UWEZO WA KUHUDUMIA MAZINGIRA MBALI MBALI YENYE UHITAJI MDOGO, MKUBWA SAMBAMBA NA UZALISHAJI WA SEMBE NA DONA KWA KIASI KIKUBWA. (4TONS/SIKU).

ZIFUATAZO NI GHARAMA ZA MASHINE KATIKA
UMILIKI WAKE.

MASHINE YA KUSAGA MAHINDI.
SIZE: 75HM
BATI: 6mm, Housing 2mm.
UWEZO: 700Kg/Saa
MOTOR 30Hp: 1,500,000.
RELI: 300,000.
KINU: 1,500,000.
JUMLA: 3,300,000.

MASHINE YA KUKOBOA MAHINDI
AINA/SIZE: ROLLER 3
BATI: 2mm
ANGLE: 6mm
UWEZO: 700kg/Saa
MOTOR 30Hp:1,500,000.
RELI: 300,000.
KINU: 1,500,000.
JUMLA: 3,300,000.

MASHINE YA KUPEPETA NA KUSAFISHA MAHINDI.
(SHAKING TABLE MACHINE).
MOTOR: 3HP
UWEZO: 1TON/SAA
BEl: 2,500,000.

☎️| SIMU/WHATSAPP: +255746498349
πŸ“|SEHEMU: TABATA DAMPO, DAR ES SALAAM.

β€œJE NI VITU VIPI VYA MUHIMU VYA KUZINGATIA KATIKA KUANZISHA KIWANDA CHA KUZALISHA
SEMBE”
1. UBORA WA MASHINE HUSIKA NA HAPA NDIPO UNATUPATA SAMAI AGRO MACHINERY.
2. ENEO: ANGALAU LENYE UREFU NA UPANA WA MITA 5 X 5 KWAAJILI YA MASHINE NA WATU PIA.
3. UMEME: HAKIKISHA SEHEMU ULIOPO UMEME WA
NJIA TATU ( 3 PHASE ) UNAPATIKANA KUTOKA TANESCO
AMBAO NDIO UNATUMIKA KUENDESHA MASHINE
HUSIKA.
4. VIFAA VYA UMEME VYA KUWEZESHA MASHINE
HUSIKA KUFANYA KAZI.

FAIDA ZA MASHINE HIZI?
1. Aina hi ya mashine ina uwezo wa kuhudumia jamii yenye uhitaji Mdogo (VIPETO), Mkubwa na Kwaajili ya biashara ya kuzalisha sembe kwa mauzo ya jumla. (4TONS/SIKU)
2. Aina hii ya mashine ina uwezo wa kuzalisha kiasi cha
Tani 4 (4TON) kwa siku na kupelekea ongezeko la bidhaa ya sembe, Dona na lishe kwenye jamii yetu.
3. Aina hii Mashine hufaa kwa wale wanao anza biashara kwa ajili ya kuzalisha unga wa sembe (packaging) na kutengeneza brand zao binafsi sokoni.
4. Aina hii ya mashine ni yenye gharama nafuu katika uendeshaji kwani hutumia matumizi madogo ya umeme.

PAMOJA TUJENGE VIWANDA VYETU πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ› οΈ
takeer.com
takeer.com
Play
takeer.com
takeer.com
Play
takeer.com
Play
takeer.com
Play
takeer.com