takeer.com

Takeer

Play
Mute
takeer.com
@samai_machinery
KIWANDA CHA KUZALISHA SEMBE.
( MAIZE FLOUR MILLING PLANT VA)
Uwezo: 50Tons/ Kwa siku.

Hiki ni kiwanda kikubwa cha pili kutengenezwa nasi kwaajili ya kuzalisha unga wa sembe..!!
MFUMO UPO KAMA IFUATAVYO!!
1. Sehemu ya kwanza ya picha ni Bucket area ambapo mahindi huwekwa na kupandishwa na mashine itwayo (Elevator). Hapa mahindi hupandishwa juu kuelekea kwenye mashine ya Kupepeta.

2. Sehemu ya pili ni mashine ya kupepeta (Shaking Table):
Hapa mahindi hufika na husafishwa kwa maadalizi ya kwenda kuloeshwa na kwenda kwenye mashine ya kukobolewa.

2.1. Sehemu ya tatu ni (Auger transfer) : hapa mahindi hupelekwa kwenye tank na kuhitadhiwa kwa maandalizi ya kukobolewa.

3. Sehemu ya tatu ni Mashine ya Kukoboa: Hapa mahindi hupata kukobolewa kwa maandalizi ya kwenda kuhifadhiwa kwenye tank kwaajili ya kuhifadhiwa.

3.1. Sehemu ya tatu ni mashine ya kupandisha (Auger):
Hapa pumba hupelekwa nje na mahindi hupelekwa kusagwa kwenye tank kwa maandalizi ya kusagwa.

4. Sehemu ya nne ni Mashine ya Kusaga (Grinding M/c:)
Hapa mahindi hupatwa kusagwa na kuelekea kufanywa packing.

SAMAI MAKES YOUR FUTURE BRIGHT.
SIMU/WHATSAPP: +255746498349

#maize #maizeplant #mahindi #china #tanzania🇹🇿 #sido #dar #bagamoyo #kibaha #pwani #zanzibar #znz #pangani #kigamboni #morogoro #mikumi #dodoma #mbeya #iringampya #mwanzamwanza #mwanzacity #geita #musoma #tabora #sumbawanga
takeer.com
Play
takeer.com
takeer.com
takeer.com
Play
takeer.com
takeer.com
takeer.com