@samai_machinery
Hello Samai Family πβοΈ
Mnamo tarehe 05/08/2024 tumefanikisha Ndoto ya Ndugu yetu Mr.Gimeti kumiliki kiwanda cha kuzalisha Sembe na Dona pamoja na nafaka mbalimbali jijini Dar es salaam, Madale.
Samai Machinery tutahakikisha kiwanda kinazidi kua bora na kufika matakwa ya mteja wetu na kuhakikisha kila Mtanzania tupate kutimiza ndoto yake. ππΎππΎβοΈ
PAMOJA TUJENGE VIWANDA VYETU πΉπΏπ οΈ
VISIT SAMAI πΉπΏ
π| +255746498349
π| TABATA DAMPO, DAR ES SALAAM
#dar #pwani #kibaha #morogoro #bagamoyo #pangani #dodoma #iringampya #njombe #mbeya #lindi #mtwara #geita #masasΔ± #tunduru #tandahimba #sumbawanga #kahama #tabora #zanzibarisland #sembe #dona #sembenadona #mahindi #nafaka #mabibo #manzese