@samai_machinery
MASHINE YA KUKOBOA MAHINDI
AINA/SIZE: ROLLER 3
BATI: 2mm
ANGLE: 6mm
UWEZO: 700kg/Saa
MOTOR 30Hp:1,500,000.
RELI: 300,000.
KINU: 1,500,000.
JUMLA: 3,300,000.
FAIDA ZA MASHINE HII. ⬇️⬇️⬇️
1. Aina hii ya mashine ina uwezo wa kuhudumia jamii yenye uhitaji Mdogo (VIPETO), Mkubwa na Kwaajili ya biashara ya kuzalisha sembe kwa mauzo ya jumla. (4TONS/SIKU)
2. Aina hii ya mashine ina uwezo wa kuzalisha kiasi cha
Tani 4 (4TON) kwa siku ( MASAA 12 ) na kupelekea ongezeko la bidhaa ya sembe, Dona na lishe kwenye jamii yetu.
3. Aina hii ya Mashine hufaa kwa wale wanao anza biashara kwa ajili ya kuzalisha unga wa sembe (packaging) na kutengeneza brand zao binafsi sokoni.
4. Aina hii ya mashine ni yenye gharama nafuu katika uendeshaji kwani hutumia matumizi madogo ya umeme.
#dar #mbezi #manzese #mabibo #bagamoyo #pwani #kibaha #morogoro #arushatanzania #dodoma #kibaigwa #gairo #iringampya #njombe #makambako #mafinga #mbeya #songea #ruvuma #sido #shinyanga #mwanzamwanza #kahama #tabora #wasafi #ikulumawasiliano #tbc #efm #yangasc #simbasc