takeer.com

Takeer

Takeer - HABARI MTANZANIAAA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ› ๏ธ
KARIBU KWENYE ULIMWENGU  WENYE SIRI KUBWA YA MAFANIKIO KATIKA TASNIA YA VIWANDA. 

( UWEKEZAJI KATIKA UZALISHAJI WA NAFA...
takeer.com
@samai_machinery
HABARI MTANZANIAAA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ› ๏ธ
KARIBU KWENYE ULIMWENGU WENYE SIRI KUBWA YA MAFANIKIO KATIKA TASNIA YA VIWANDA.

( UWEKEZAJI KATIKA UZALISHAJI WA NAFAKA MBALIMBALI KAMA VILE SEMBE NA DONA, LISHE LISHE NAKADHALIKA UMESHIKA HATAMU TANGU ENZI NA ENZI NA HII NI KUTOKANA NA UHITAJI WA BINADAMU WA KILA SIKU KAMA CHAKULA )

Samai Agro Machinery imewaletea Mashine ya kusaga Mahindi ( size 75 ), Mashine ya kukoboa mahindi ( Aina ya Roller 3 ) na Mashine ya kupepeta Mahindi na mazao mbalimbali.

MASHINE YA KUSAGA MAHINDI.
SIZE: 75HM
UWEZO: 700Kg/Saa
MOTOR 30Hp: 1,500,000.
RELI: 300,000.
KINU: 1,500,000.
JUMLA: 3,300,000.

MASHINE YA KUKOBOA MAHINDI
AINA/SIZE: ROLLER 3
UWEZO: 700kg/Saa
MOTOR 30Hp:1,500,000.
RELI: 300,000.
KINU: 1,500,000.
JUMLA: 3,300,000.

MASHINE YA KUPEPETA NA KUSAFISHA MAHINDI.
(SHAKING TABLE MACHINE).
MOTOR: 3H.
UWEZO: 1TON/SAA
BEl: 3,000,000.

FAIDA ZA MASHINE HIZI?
1. Aina hii ya mashine ina uwezo wa kuhudumia jamii yenye uhitaji Mdogo (VIPETO), Mkubwa na Kwaajili ya biashara ya kuzalisha sembe kwa mauzo ya jumla jumla. (4TONS/SIKU)

2. Aina hii ya mashine ina uwezo wa kuzalisha kiasi cha
Tani 4 (4TON) kwa siku ( MASAA 12 ) na kupelekea ongezeko la bidhaa ya sembe, Dona na lishe kwenye jamii yetu.

3. Aina hii ya Mashine hufaa kwa wale wanao anza biashara kwa ajili ya kuzalisha unga wa sembe (packaging) na kutengeneza brand zao sokoni kwa mara ya kwanza.

4. Aina hii ya mashine ni yenye gharama nafuu katika uendeshaji kwani hutumia matumizi madogo ya umeme.

๐Ÿšจ| VITU MUHIMU VYA KUZINGATIA KATIKA KUANZISHA KIWANDA HIKI CHA KUZALISHA SEMBEโ€

1. ENEO: ANGALAU LENYE UREFU NA UPANA WA MITA 5 X 5 NA KUENDELEA KWAAJILI YA MASHINE NA WATU PIA.

2. UMEME: HAKIKISHA SEHEMU ULIOPO UMEME WA
NJIA TATU ( 3 PHASE ) UNAPATIKANA KUTOKA TANESCO
AMBAO NDIO UNATUMIKA KUENDESHA MASHINE
HUSIKA.

3. VIFAA VYA UMEME VYA KUWEZESHA MASHINE
HUSIKA KUFANYA KAZI; HAPA WATAALAM HUFANYA TATHMINI KULINGANA NA JENGO LAKO NA AINA YA MITAMBO ILIOFUNGWA NDIO UTAPATA GHARAMA KAMILI.

4. UBORA WA MASHINE HUSIKA NA HAPA NDIO UNATUPATA SAMAI AGRO MACHINERY.๐Ÿ˜‹๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

โ˜Ž๏ธ| SIMU/WHATSAPP: +255746498349
๐Ÿ“|SEHEMU: TABATA DAMPO, DAR ES SALAAM

#PAMOJA TUJENGE VIWANDA VYETU ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ› ๏ธ๐Ÿ‘Š๐Ÿพ
takeer.com
Play
takeer.com
Play
takeer.com
takeer.com
takeer.com
takeer.com
Play
takeer.com