@halimacollectiontz
Scrub yetu nzuri snaa hii kama unataka kuvua gamba hii ni nzuri kwa ajili hiyo wale wenye rangi mbili mbili hii kitu inasawazisha rangi balaa🔥🔥🔥ukitoka kuoga ngozi inateleza kama mtoto mchanga ukitumia hii unavua gamba haswa yani inatoa ngozi yote iliyokufa na kukupw ngozi mpya kabisa👌
Delivery ipo mikoa yote😘