takeer.com

Takeer

Takeer - Kama unapenda ngozi yako iwe na glow nzuri  ni lazima ufanye scrub angalau mara 3 kwa week  hii itakusaidia kupata matokeo mazuri snaa na utaifurah...
takeer.com
@halimacollectiontz
Kama unapenda ngozi yako iwe na glow nzuri ni lazima ufanye scrub angalau mara 3 kwa week hii itakusaidia kupata matokeo mazuri snaa na utaifurahia ngozi yako ,unapotumia product bila kufanya scrub mwilini jua unajisumbua hata kama utapata matokeo ila itachukua miaka kwa maana unapaka mafuta juu ya ngozi yenye magamba au iliyokufa

Hii ipo zaidi ya ๐Ÿ”ฅna matokeo yake utayaona ukitoka kuoga hii inavua gamba kabisa ukutoka bafuni unakua mpyaa๐Ÿ‘Œ
takeer.com
takeer.com
Play
takeer.com
takeer.com
takeer.com
takeer.com
takeer.com