@halimacollectiontz
Scrub nzuri snaa kama unataka kuvua gamba hakikisha hukosi hii inatoa taka zote mwilini na kuacha ngozi ipumue vizuri hata ukipaka kipako chako kinafanya kazi vizuri snaa👌wale wa rangi mbili mbili ngozi aina afya hii isikupite
Bei 20000 tu
Delivery ipo mikoa yote