@halimacollectiontz
Scrub yetu ya vua gamba ni nzuri mpaka nzuri tena 🙌🏻kama unatamni kuvua gamba la mwilini hii kiboko wale waliotoka kujifungua wakaharibika ngozi hii inaondoa weusi wote uliotokana na uzazi👌hakikisha unapaka kipako ngozi ikiwa safi my dear itakusaidia kupata matokeo mazuri snaa na ya haraka👌
Delivery ipo mikoa yote😍