@halimacollectiontz
Wale wanataka kutoa gamba hapa ndipo penyewe hata kama ngozi yako imefubaa vp hii scrub ni mwisho 🙌🏻yani inasafisha taka zote mwilini na kukupa ngozi laini kama ya mtoto mchanga👌kama ngozi yako ina rangi mbili mbili tumia hii
35000
Delivery ipo mikoa yote