@halimacollectiontz
Hii scrub ni nzuri mpaka nzuri tenaa kama ngozi yako ya mwili imefubaa imechoka imeungua wewe tumia hii ni kiboko kwa kuvua gamba yani ni zaidi ya nzuri
Faida ya scrub inasaidia snaa kuondoa ngozi ya juu iliyokufa na angalau tumia mara tatu kwa week hii itakusaidia kupata matokeo mazuri snaa kwenye products zako👌
Call au watsap0752902619