@halimacollectiontz
Shower gel hii ya asali na maziwa ni nzuri jamni yani kama ukitoka kuogea hii ngozi inateleza kama ya mtoto ni nzuri mpaka nzuri tena wanaotumia wanaelewa 👌kama ngozi yako imefubaa ww ogea hii utanipa majibu🔥
Delivery ipo mikoa yote🥰