takeer.com

Takeer

Play
Mute
takeer.com
@max1_limited
Leo baada ya kazi nilipata wasaa wa kutembelea mgahawa mmoja mjini kwa jina @kukurico.tz na jambo la kwanza lililonivutia ni mandhali yake ya kuvutia na vifaa vyake vya kiwango cha juu. Kilichonifurahisha zaidi ni kwamba vifaa vyote vya bafu, choo, na jiko – pamoja na showcase ya counter – vyote vimetoka hapa MAX ONE!

Kwa ufupi, nimeona vifaa hivi vya kisasa kutoka MAX ONE:
✨ Hand Dryer ya kisasa (portable)
✨ Basin Mixer
✨ Shataff
✨ Vifaa vya jikoni vya ubora wa hali ya juu

Kila sehemu, kuanzia bafuni hadi jikoni, wanatumia bidhaa za kiwango cha kimataifa kutoka brand maarufu ya MAX.

Sasa ni wakati wako wa kujiuliza, wewe unangoja nini? Usikose kupata bidhaa hizi zenye ubora wa juu kwa ajili ya biashara yako au nyumba yako.

Karibu MAX ONE leo ujipatie bidhaa zinazofanya tofauti! 🙌

#MAXONE #UboraWaHaliYaJuu #HandDryer #BasinMixer #Shataff #JikoniKisasa #VifaaVyaKisasa
takeer.com
takeer.com
Play
takeer.com
Play
takeer.com
takeer.com
Play
takeer.com
Play
takeer.com
Play