@comadretz_tools
Leo tumemtembelea mteja wetu mkubwa @tomlema1
Thomas ni Fundi wa kidigitali kazi zake zimenyooka sana na zinakamilika kwa wakati, kwa sababu anatumia vifaa bora na vya kisasa kukimbiza kazi zake.
Follow account yake @tomlema1 kuona kazi zake na usisite kufanya nae kazi.
Cordless Angle Grinder
Utazipata @comadretz_tools kwa Bei ya Shs. 225,000/=
Tupigie +255 752 362 460
Delivery tunafanya mikoa yote.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
#cordlesstools #drills #cordlessdrill #construction #handtools #tool #hammermachine #dewalt #hometools #diytools #makita #powertools #electrician #contractor #woodtools