@kariakoo_parfumee
Goli lipo wazi kuanzia leo Jumamosi ya September 14 hadi September 21 hapa katika viwanja wa Mnazi mmoja yatafanyika maonyesho maalumu kwa wafanyabiashara wa Kariakoo wakiuza bidhaa kwa gharama rafiki hivyo ni nafasi yako mteja wa jumla na reja reja kuchangamkia fursa.
Baadhi ya wafanyabishara @her_accessoriess @decutee88 @chief_phone_accessories @kariakoo_parfumee @hometech_tz @jbclassicwear wanakukaribisha viwanja vya Mnazi mmoja kwenye maonesho haya makubwa ya wafanyabiashara wakubwa , wa kati na wadogo Kariakoo @kariakoofestival