@samai_machinery
Leo nilipata wasaa wakushiriki katika Maonesho ya 18 ya Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) na kukabidhiwa cheti na BRELA cha Usajili wa jina la Biashara linalotambulika kama SAMAI AGRO MACHINERY . (@samai_machinery )katika uwanja wa Mnazi Mmoja, Jijini Dar es Salaam.
N.B: TENGENEZA NA AGIZA MZIGO WAKO NA SAMAI AGRO MACHINERY ( @samai_machinery ) KATIKA PANDE ZOTE ZA TANZANIA NA NJE YA TANZANIA NA UTAPOKEA KATIKA USALAMA WA HALI YA JUU NA UBORA WA HALI YA JUU. ππΎπΉπΏπ οΈ
βYOU DREAM WE MAKE YOUR DREAM FULFILLβ πΉπΏπ οΈ
πSimu/whatsapp: +255746498349
πSehemu: Tabata Dampo, Dar es salaam.