takeer.com

Takeer

Play
Mute
takeer.com
@sk_house_of_underwear
Tunapenda kukukaribisha SK_House_of_Underwear, Kariakoo - mtaa wa Tandamti na Nyamwezi, opp na soko kuu la Kkoo. Tunakuletea bra bora na za kisasa kwa bei nafuu kabisa, zenye ubora wa hali ya juu na faraja isiyo na kifani!

Je, unatafuta bra kwa ajili ya biashara yako au kwa matumizi binafsi? SK_House_of_Underwear tuna kila aina ya bra unayohitaji. Na sasa, tunakuletea huduma ya delivery popote ulipo kwa gharama nafuu! Usikose kutembelea duka letu au tupigie leo kwa mahitaji yako yote.

Wasiliana nasi sasa: 0717797024
Tunafurahia kuhudumia mahitaji yako!
takeer.com
Play
takeer.com
Play
takeer.com
Play
takeer.com
Play
takeer.com
Play
takeer.com
Play
takeer.com