takeer.com

Takeer

Takeer - THE KING OF THE JUNGLE: 100HM
Mashine hii ya kusaga ni mfalme wa mashine zote na pendwa kwa wadau mbalimbali wa viwanda katika kachakata mahindi ku...
takeer.com
@samai_machinery
THE KING OF THE JUNGLE: 100HM
Mashine hii ya kusaga ni mfalme wa mashine zote na pendwa kwa wadau mbalimbali wa viwanda katika kachakata mahindi kua sembe kwani mashine hii ina nguvu kama simba, haiogopi zana, uvumilivu au kiwango cha malisho yaani Inauma mahindi kama siagi.

KWANINI MASHINE HII TUMEIITA MFALME WA MSITUNI KAMA MNYAMA MKALI SIMBA?? 🦁

1. Aina hii ya mashine ina uwezo wa kuzalisha wastani wa ton 8 mpaka 10 kwa siku katika uchakataji wa zao la mahindi na kua sembe.

2. Aina hii ya Mashine hutumika katika kupokea tenda mbalimbali kama vile mashuleni na maeneo mbalimbali yenye uhitaji wa chakula cha sembe.

3. Aina hii ya mashine hutoa bidhaa ilio bora na pendwa kwa jamii ya kiafrika kwani powder ndio sifaa kuu ya mashine hii na kufanya unga kua mzuri zaidi kwaajili ya chakula cha binadamu.

4. Aina hii ya mashine ulaji wake wa umeme ni nafuu sana kwaani inakadiliwa kutumia kiasi cha shilinga elfu 11,000. Kwa saa moja mashine ikiwaka na kuzalisha bidhaa zaidi ya ton 1 kwa saa na hii ndio sifaa kuu ya mfalme huyu wa msituni. 💪🏾💪🏾

5. Aina hii ya mashine ni Imara sana kutokana na material yaliyotumika kutengeza hivyo imemuhakikishia mteja kudumu kwa zaidi ya miaka 7 katika biashara yake.

ZIFUATAZO NI GHARAMA KATIKA UMILIKI WAKE.
MASHINE YA KUSAGA MAHINDI.
AINA/SIZE: 100HM
BATI: 6mm ( BODY ), Housing 2mm.
UWEZO: 1000/Saa
NGUVU YA MOTOR 40Hp :2,000,000
KINU CHA KUSAGA : 2,000,000.
RELI: 500,000. ( CHUMA INAYOBEBA KINU CHA KUSAGA NA MOTOR YAKE )
JUMLA: 4,500,000.

📞| +255746498349
📍| TABATA DAMPO, DAR ES SALAAM

#dar #bagamoyo #pwani #kibaha #morogoro #chalinze #msata #dodoma #iringa #mafinga #makambako #njombe #songea #ruvuma #mtwara #masası #lindi #mozambique #mbeya #mbeyacity #chunya #singida #itigi #mwanza #mwanzatanzania #tabora #moshi #moshimoshi #arusha #arushatanzania
takeer.com
takeer.com
takeer.com
takeer.com
Play
takeer.com
takeer.com
takeer.com
Play