takeer.com

Takeer

Takeer - JE WAJUA?? πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»
Mafanikio ya biashara yako ya kusaga unga wa mahindi ( SEMBE ) kwa kiwango kikubwa na bidhaa Bora ni inategemea na ubora wa mas...
takeer.com
@samai_machinery
JE WAJUA?? πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»
Mafanikio ya biashara yako ya kusaga unga wa mahindi ( SEMBE ) kwa kiwango kikubwa na bidhaa Bora ni inategemea na ubora wa mashine za kusaga mahindi unazotumia wakati wa kusaga unga wa mahindi.

Mashine ya kusaga ndiyo sehemu kuu ya kiwanda chochote cha kusaga unga. Mashine bora sio tu itazalisha unga wenye ubora wa hali ya juu lakini pia itatumia nishati kidogo na itatoa pato la juu. Ndio maana kuchagua mtengenezaji sahihi wa mashine ya kusaga na kukoboa mahindi ni muhimu kwani upelekea biashara yako katika mafanikio makubwa sana. Na hapa ndio unatupata β€œSAMAI AGRO MACHINERY” βš’οΈπŸ‡ΉπŸ‡Ώ

SAMAI AGRO MACHINERY INAKULETEA MASHINE YA KUSAGA NA KUKOBOA SIZE YA KATI ( SIZE 75 NA ROLLER 3 ) YENYE UWEZO WA KUHUDUMIA MAZINGIRA MBALI MBALI YENYE UHITAJI MDOGO, MKUBWA SAMBAMBA NA UZALISHAJI WA SEMBE NA DONA KWA KIASI KIKUBWA. (4TONS/SIKU).

ZIFUATAZO NI GHARAMA ZA MASHINE KATIKA
UMILIKI WAKE.

MASHINE YA KUSAGA MAHINDI.
SIZE: 75HM
BATI: 6mm, Housing 2mm.
UWEZO: 700Kg/Saa
MOTOR 30Hp: 1,500,000.
RELI: 300,000.
KINU: 1,500,000.
JUMLA: 3,300,000.

MASHINE YA KUKOBOA MAHINDI
AINA/SIZE: ROLLER 3
BATI: 2mm
ANGLE: 6mm
UWEZO: 700kg/Saa
MOTOR 30Hp:1,500,000.
RELI: 300,000.
KINU: 1,500,000.
JUMLA: 3,300,000.

MASHINE YA KUPEPETA NA KUSAFISHA MAHINDI.
(SHAKING TABLE MACHINE).
MOTOR: 3H.
UWEZO: 1TON/SAA
BEl: 3,000,000.

☎️| SIMU/WHATSAPP: +255746498349
πŸ“|SEHEMU: TABATA DAMPO, DAR ES SALAAM.

PAMOJA TUJENGE VIWANDA VYETU πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώβš’οΈ
takeer.com
takeer.com
takeer.com
Play
takeer.com
takeer.com
takeer.com
takeer.com