@samai_machinery
MASHINE YA KUSAGA MAHINDI SIZE 100HM
UWEZO: 1000kg/ SAA
Bati ( BODY ): 6mm
Bati ( HOUSING ): 2mm
Nguvu Ya Mota: 40HP
BEI: 4,500,000.
FAIDA YA AINA HII YA MASHINE YA SIZE 100.
1. Aina hii Ya mashine Hutumika Kwenye Biashara ya Uzalishaji sembe/Dona kwa Kiasi kikubwa. ( 10Tons/ SIKU )
2. Aina Hii ya ina uwezo wa kupokea Tenda kubwa kuanzia tani 5-10 kwa siku.
3. Aina hii Ya mashine Haili Umeme mwingi kulingana na kazi inayoenda kufanya. Mfano Mota ina 30KW na Umeme unit moja ni sawa na shilingi 360 hivyo ( 360 ✖️30kw ) ni sawa na 10,800 KWA 1TON.
4. Aina hii ya mashine ni yenye gharama nafuu katika umiliki wake.
SIMU/WHATSAPP: 0746498349
SEHEUMU: TABATA DAMPO, DAR ES SALAAM.
#dar #kibaha #bagamoyo #morogoro #iringampya #dodoma #njombe #mbeya #songea #ruvuma #tabora #malawi🇲🇼 #lindi #mtwara #tunduma #nachingwea #zambia #mozambique🇲🇿 #efm #tbc #wasafi #sido #millardayo #startv