@samai_machinery
TWO IN ONE. ( MBILI KWA MOJA ).
MASHINE YA KUSAGA SIZE 75 NA KUKOBOA ROLLER 3 YA MAHINDI KWA KUTUMIA MOTA MOJA. AINA HII YA MFUMO INAMUWEZESHA MTUMIAJI KUBADILI MIKANDA PALE ANAPO TAKA KUSAGA AMA KUKOBOA MAHINDI.
ZIFUATAZO NI GHARAMA KATIKA UMILIKI WAKE.
MASHINE YA KUSAGA SIZE 75 @ 1,500,000.
MASHINE YA KUKOBOA ROLLER 2 @ 1,500,000.
30HP MOTOR (PAMOJA NA PULLEY ZAKE) @ 1,500,000.
RELI @ 500,000.
FREE BELTS.
JUMLA: 5,000,000.
SABABU KUU YA KUPELEKEA AINA HII YA MFUMO.
1. Baadhi ya wadau mbalimbali hupendelea mota moja ni kutokana na bajeti husika kutokua rafiki na baadae mambo yakiwa mazuri hukata sehemu moja na kuunga kipande cha mota nyingine hivyo kua na mota mbili kwenye ufanyaji kazi.
FAIDA YA AINA HII YA MFUMO.
1. Aina hii ina muwezesha mtu anaeanza uwekezaji kwa kiwango cha chini kua na uwezo wa kumiliki kiwanda hivyo pale anapopata nguvu ya kukua kiuchumi muwekezaji hupanua wigo wa mashine kwa kutumia mota mbili. ( KILA MASHINE INAANZA KUJITEGEMEA BILA KUSIMAMA ).
2. Aina hizi za mashine zina uwezo kuchakata sembe na dona kwaajili ya uuzaji wa jumla na rejareja.
3. Aina hizi za mashine zina uwezo wa kuhudumia jamii wanaokuja kusaga na kukoboa kwa kiwango kidogo na kikubwa pia. (MULTIPURPOSE MACHINE).
4. Aina hii ya mashine ni yenye gharama nafuu katika umiliki wake kwa anaetaka kuanza biashara ya uzalishaji wa sembe na dona. ( 4TONS/SIKU ).
PAMOJA TUJENGE VIWANDA 🇹🇿
VISIT SAMAI🛠🇹🇿
📞SIMU/WHATSAPP: +255746498349
📍SEHEMU: TABATA, DAMPO DAR ES SALAAM
#mafinga #mbeya #makete #njombe #makambako #ruvuma #songea #iringampya #dodoma #gairo #morogoro #singidabigstars #shinyanga #mwanzamwanza #mwanjelwa #mbeyacity #kibaha #dar #chunya #sumbawanga #mashine #bagamoyo #mtwara #lindi #musoma #geita