takeer.com

Takeer

Takeer - ✍️JE BIASHARA YAKO IMEKUA KWA KASI NA UNADHANI NI WAKATI SAHIHI WA KUONGEZA MASOKO YAKO?? 

✍️JE UNA MALENGO YA KUSHAMBULIA MOJA KWA MOJA SOKONI  B...
takeer.com
@samai_machinery
✍️JE BIASHARA YAKO IMEKUA KWA KASI NA UNADHANI NI WAKATI SAHIHI WA KUONGEZA MASOKO YAKO??

✍️JE UNA MALENGO YA KUSHAMBULIA MOJA KWA MOJA SOKONI BILA UOGA??

SAMAI AGRO TUMEKULETEA MASHINE YA KUSAGA MAHINDI SIZE 100 ( 100HM ) NA MASHINE YA KUKOBOA MAHINDI AINA YA ROLLER 4 ( 4RD ) YENYE UWEZO WA UZALISHAJI TON 8-10 KWA SIKU.
(COMMERCIAL MACHINE)

MASHINE YA KUSAGA MAHINDI
AINA/SIZE: 100HM
BATI: 6mm, Housing 2mm.
UWEZO: 1000/Saa
NGUVU YA MOTOR 40Hp :2,000,000
KINU: 2,000,000.
RELI: 500,000. ( CHUMA YENYE RANGI NYEKUNDU INAYOBEBA MASHINE YA KUSAGA NA MOTOR YAKE )
JUMLA: 4,500,000.

MASHINE YA KUKOBOA MAHINDI
AINA/SIZE: ROLLER 4
UWEZO: 1000kg/Saa
MOTOR 40Hp :2,000,000.
KINU: 2,000,000.
RELI: 500,000. ( CHUMA YENYE RANGI NYEKUNDU INAYOBEBA MASHINE YA KUKOBOA NA MOTOR YAKE )
JUMLA: 4,500,000.

MASHINE YA KUPEPETA NA KUSAFISHA ( SHAKING TABLE MACHINE ).
UWEZO: 1Ton / SAA.
NGUVU YA MOTOR: 3Hp.
BEI: 3,000,000.

FAIDA ZAKE NI ZIPI?? 👇🏻👇🏻👇🏻
1. Lengo la umiliki wa mashine hii ni kushambulia soko moja kwa moja bila uoga kwani itaruhusu bidhaa yako kuzalishwa kwa wingi na kutopotea sokoni kirahisi.

2. Lengo la umiliki wa mashine hii ni kupokea tendor kubwa kwaajili ya kulisha jamii kubwa yenye uhitaji kamavile; mashuleni, Kambi za wakimbizi pia sehemu yenye uhitaji wa ugali.

3. Ulaji wake wa umeme ni mdogo kwani; kwa saa inakadiliwa kua umeme wa Tshs. 21,500. Hutumika kwa saa moja kwa mashine zote mbili zikiwa zimewaka bila kuzima.
JE KWA SAA UMETUMIA TSH. 21,500. KWA KUZALISHA TON 1.5 YA SEMBE.

HASARA ZAKE NI ZIPI?? 👇🏻👇🏻
1. Iwapo utahitaji kutoa huduma ndogo ndogo kwa wateja ( VIPETO ) mashine hii haitakupa kusudio kuu la biashara yako na itakufanya usipende biashara hii.
Hapa ndio maana watu huweka size ya chini ya mashine kwaajili ya kuhudumia jamii yetu ya mtaani.

📞SIMU/WHATSAPP: +255746498349
📍SEHEMU: TABATA, DAMPO DAR ES SALAAM

PAMOJA TUJENGE VIWANDA VYETU 🇹🇿🛠️⚒️
takeer.com
takeer.com
takeer.com
takeer.com
Play
takeer.com
takeer.com
takeer.com