@comadretz_tools
@aku_furniture_tanzania ni wateja wakubwa sana wa vifaa vyetu vya AMOEBA #fundiwakidigitali ni mafundi makini sana wa furniture, wananyoosha sana kazi zao na wanakamilisha kazi zao kwa wakati mara zote. Siri ni waliamua kuwekeza kwa kununua vifaa bora na vya kisasa ambavyo haviwakwamishi kazini.
Tafadhali wafollow @aku_furniture_tanzania na upitue kazi zao bora kabisa.
Sisi Comadre tunawaverify @aku_furniture_tanzania kuwa mafundi wa kidigitali.