@kitengo1_hardware
🚿ili uepuke uharibifu unaotokana na mvua,
zinazoendelea lazma uweke vifaa Bora
✌️ili uepuke usumbufu lazma ujue vifaa gani!
Uweke kutokana na mazingira Yako!
💪 Mafundi na wajenzi, wamedhibitisha kuwa vifaa
Vya mfumo wa maji taka na safi, kutoka KHC ni Bora
Na bei ni halisi
🌺 Nyumba yako au wewe unaefanya biashara ya vifaa
Vya Bomba , ili uwe Bora na ukidhi mahitaji ya wateja
wako lazma uwape vitu vya kuvutia
Sisi KHC tupo kukuhudumia vifaa vya ujenzi Bomba na umeme, 0733700337