@comadretz_tools
@aku_furniture_tanzania ni mteja wetu mkubwa, lakini na sisi pia ni wateja wake wakubwa wa furnitures zake, ananyoosha sana kazi.
Jana tulimtembelea ofisini kwake kuona jinsi gani anatumia vifaa vyetu pendwa vya AMOEBA na jinsi gani vinamsaidia kumaliza kazi kwa wakati.
Tafadhali kwa kazi zote za furniture usisite kuwapa kazi @aku_furniture_tanzania wananyoosha sana kazi na wanakamilisha kazi kwa wakati.
Kupata mashine zilizobora karibu @comadretz_tools
Tupigie +255 752 362 460
Delivery tunafanya mikoa yote.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
#cordlesstools #drills #cordlessdrill #construction #handtools #tool #hammermachine #dewalt #hometools #diytools #makita #powertools #electrician #contractor #woodtools