@kitengo1_hardware
🙋nakusalimu katika ujenzi , wewe mjenzi na
Mfanya biashara wa vifaa vya ujenzi Bomba na
umeme.
🌺Uzuri wa bidhaa hutokana na vile unaelewa Nini
Uweke kwenye nyumba Yako , na wewe muuzaji
Ili upate wateja lazma ujue Nini uuze ! Ukiwa
Na sisi tutakupa utakachouza bila mashaka
💪Tunauza vifaa Bora na bei tunaamini unamudu
Kulingana na hitaji lako wewe mteja.
🔨Vifaa vyetu ni uhakika , kwani tunakuruhusu hata
Kurudisha Kwa makubaliano , kama kutakuwa na shida
Tunakufikishia mpaka dukani kwako Dar Es Salaam na
Na Pwani, mkoani tunafikisha Kwa wakala usafirishaji
0756238922 what up na 0733700337 piga