@samai_machinery
MASHINE YA KUPEPETA NA KUSAFISHA MAZAO KAMA VILE MAHINDI, SOYA BEANS, ALIZETI NAKADHARIKA. ( SHAKING TABLE MACHINE ).
MOTOR: 3Hp.
UWEZO: 1TON/SAA
BEI: 3,000,000.
FAIDA YA MASHINE HII?? ⬇️⬇️⬇️⬇️
1. Haitumii umeme mwingi katika uendeshaji wake.
2. Ina uwezo wakutumia umeme wa kiwanda au wa nyumba. ( Single phase/Three phase ) kutokana na mteja anahitaji nini.
3. Ina uwezo wa kuchakata Tani moja kwa saa hivyo kuokoa muda katika uendeshaji.
4. Aina hii ya mashine hupelekea bidhaa yako kua bora zaidi wakati wote na kupendwa kwenye jamii kutokana na usafi wa bidhaa yako.
📞SIMU/WHATSAPP: +255746498349
📍SEHEMU: TABATA, DAMPO DAR ES SALAAM
#shakingtable #shakingtablemachine #maize #maizecleaner #maizedestoner #nafaka #lishe #mahindi #mashineyakusaga #dar #bagamoyo #pwani #kibaha #morogoro #iringampya #dodoma #gairo #mafinga #morogoro #njombe #makambako #mbeya #songea #tabora #kahama #shinyanga #sido #tbc #millardayo