@samai_machinery
HELLO SAMAI FAMILY.
Mnamo Tarehe 02/03/2024 mmoja wa mdau wa viwanda kutoka kwenye ukurasa wetu pendwa @samai_machinery kutoka kwenye jiji la kihistoria Iringa town alipata wasaa wakuweka order yake nasi SAMAI MACHINERY @samai_machinery na kuhitaji mashine za kati za kuchakata mahindi hivyo basi leo 09/03/2024 ni faraja kwake kapokea bidhaa zilizokua bora na uimara wa hali ya juu zilizotengenezwa na @samai_machinery tunapenda kutoa pongezi kwa Team nzima kwa uaminifu wa hali ya juu na mteja wetu amefurahi sana sana. 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Ndugu mdau unaweza kuweka order yako popote pale uwe ndani ama nje ya nchi kwa kubofya link ya whatsapp juu ya kurasa ama piga simu/whatsapp: 0746498349 nasi samai machinery tutakifikia popote ulipo na kwa usalama wa hali ya juu.
KWANINI UPOTEZE GHARAMA NA NAULI ZAKO PIGA SIMU/ WHATSAPP: +255746498349 NASI TUTAKUHUDUMIA. 🙏🏾🙏🏾
PAMOJA TUJENGE VIWANDA VYETU 🇹🇿🛠️
📞| +255746498349
📍| TABATA DAMPO, DAR ES SALAAM.
#dar #mbezi #mbezibeach #bagamoyo #kiluvya #pwani #chalinze #mlandizi #kibaha #mikumi #ifakara #morogoro #dodoma #singidatown #shinyanga #kahama #mwanzacity #mwanzamwanza #mwanzatanzania #kagera #bukoba #iringampya #mafinga #njombe #makambako #ruvuma #songea #sumajkt #lindi #mtwara