@leistunglubes
Empowering every purchase with a touch of sparkle! Enjoy a free windshield cleaner compact,microfiber cloth and car wash sponge as our gift to you this Womenβs Day. Itβs all about spreading the love and appreciation!πππππππππ
Kuelekea siku ya Wanawake Duniani familia ya @leistunglubes tunapenda kukujulisha mteja wetu ya kwamba kila oda utakayoweka utajipatia kidonge cha kusafisha kioo cha gari yako(windshield cleaner compact), sponge ya kuoshea gari yako na kitambaa kizuri sana cha kufutia gari yako bureee kabisa.
Ofa hii itaanza leo 04/03/2024 - 08/03/2024 karibu ujiunge na familia yenye furaha ya @leistunglubes πππ
Call/Whatsapp 0750596677