@kitengo1_hardware
🔨 ujenzi wako ili uwe rahisi na kupendeza
Lazma ujue wapi utapata vifaa vya finish,
Kwa gharama ndogo na Bora, bila hivyo
Gharama itakuwa Kubwa sana.
🚿 Uzuri wa gypsum board zetu ni
zimewekwa karatas yenye kuruhusu maji
Kutembea na kutoingia ndani ya board.
💪 Ni ngumu na nyepes kiuzito ili kupunguza
Uzito wa paa lisizudiwe Kwa juu, kuwa rahis
Kudondoka,
📏Size yetu ni ft 8 Kwa 4 kamili ambayo ni
Size ambayo inapendelezwa sokoni na
Matumiz
🚛 Tupe order tukuletee popote Dar es salaam na Pwani, mkoani tunafikisha Kwa wakala usafirishaji
🤳0733700337 what up na kupiga