Takeer
@breastpumptz
Momcozy pumps zinakuja na kipimo maalum cha nipple (Nipple Measuring Tool) ambacho kinakusaidia kupima ukubwa wa chuchu yako ili ujue saizi sahihi ya flange utakayotumia. Hii inahakikisha unapata comfort zaidi wakati wa kutumia pump .