takeer.com

Takeer

Play
Mute
takeer.com
@sange_hardware
Hapa Ni Mbezi Beach Jijini Dar Es Es Salaam Katika Kiwanda Kikubwa Cha Kuzalisha Milango Ya Chuma, Madirisha,Mageti N.k Huyu Ambaye Nipo Naye Ni Msimamizi Mkuu Wa Uzalishaji Wa Kiwanda Hiki Na Nikijana Kama Wewe.....

Mwaka 2020 Ndio Alianza Rasmi Shughuli Hii Na Anasema Amepitia Mambo Mengi Ila Kamwe Hakukata Tamaa Ili Kuona Ndoto Yake Inaku Kweli Na Anapata Mafanikio Kupitia Biashara Yake Hii Kubwa Kwa Sasa Ambayo Inatengeneza Fedha Nakufanya Vizuri Sana Sokoni.

Changamoto Yake Kubwa Ilikua Ni Kupata Matokeo Katika Matangazo Kwa Siku Hizi Za Karibuni ( Awali Akirusha Matangazo Alikua Akipata Watu Wengi Sana... anasema " Ilikua Nikiamka Asubuhi Nilikua Napata Message Mpaka 30 Kwa Siku Za Wateja Ila Kwa Sasa Imekua Tofauti Sana") Hii Nikutokana Na Mabadiliko Makubwa Katika Mifumo Yakufanyia Matangazo Pamoja Na Uongozaji Wa Mtandao Wa Instagram ( Instagram Alogarithim)

Pia Una Nafasi Yakujifunza Naweza Kukufundisha Jinsi Yakufanya Matangazo Na Kupata Mafanikio Makubwa Katika Mitandao Ya Kijamii, Na Kukuza Biashara Katika Mitandao Ya Kijamii Kuuza Maradufu.
takeer.com
Play
takeer.com
takeer.com
takeer.com
takeer.com
takeer.com
takeer.com