@crbagro_incubators_cages
Tunawakaribisha wateja wetu wafugaji kwa wakulima mbalimbali katika banda letu jijini Dar es salaam katika Maadhimisho ya maonyesho ya 48 yakibiashara katika viwanja vya sabasaba jijini Dar es salaam tunapatikana opossite na Wizara ya utamaduni Sanaa na michezo jitani na Tanzania Football federation kwa maelekezo zaidi endelea kuwasiliana nasi +255658972488