@kitengo1_hardware
Screw zetu ni Zaid ya matumiz ya kufunga
Gypsum
Vitanda
Vitasa
Na kazi nyingine zinazotumia mbao nyepes!
Hizi ni mm6 ngumu nyeus zisizopata kutu kirahis
Zenye ncha Kali
Zenye kichwa kigumu kufunga na mashine
3/4" 48pkt Kwa ctn
1". 30pkt Kwa ctn
1.25" 30pkt Kwa ctn
1.5" 24pkt Kwa ctn
2" 16pkt Kwa ctn
Usafiri ni juu yetu dar na pwani, mkoani tunafikisha Kwa
Wakala usafirishaji