@kitengo1_hardware
Hi Glossy thinner ni matumiz hasaa kwenye sealer Kwa
, haipaushi samani zako kama vitanda na makabati, na
Kuzifanya zikauke haraka zaid
Solvent ni Kwa rangi za mafuta , hasaa wale wanaotengeneza bidhaa za chuma
Standard Thinner ni nzuri zaid Kwa matumiz ya vanish
Clear na mahogany Kwa wale wanaotengeneza bidhaa
Za mbao Kwa ujumla
Tuna za 5l pia
Dar es salaam na pwani usafiri ni bureee
Mkoani tunafikisha Kwa wakala usafirishaji
0756238922 /. 0733700337