@kitengo1_hardware
☝️BS STEEL BAR hii ni nondo inayokunjika kiurahisi
Ili kukupa muundo mzuri na unaotaka kwenye
Jengo lako
Matumiz hasaa ya nyumba yenye mikunjo mingi
Na inayoenda juu , hasaa ghorofa , ili kukupa
Mshikamano Bora wa jengo.
Unashauriwa kutumia hizi Kwa ubora Zaid wa jengo lako
Lolote .
12mm 16mm 20mm na 25mm TSh 2500000 per tone
10mm na 8mm Tsh 2550000
✌️ LOCAL STEEL BAR hii ni nondo ya malighafi za hapa
Hapa inchini ,hasaa vyuma chakavu
Matumiz hasaa ya nyumba zisizo na mikunjo mingi,
Kama hizi za chini za Kawaida , linta na msingi
12mm 16mm tsh 2020000 per tone
Idadi 12mm 94pcs
16mm 53pcs