@samai_machinery
MASHINE YA KUKOBOA MAHINDI.
AINA/SIZE: ROLLER 3
UWEZO: 700kg/Saa
NGUVU YA MOTOR 30Hp :1,500,000.
RELI: 300,000. ( HII NI SITI INAYOBEBA MASHINE NA MOTOR )
KINU: 1,500,000.
JUMLA: 3,300,000.
FAIDA ZAKE NI ZIPI?
1. Aina hii ya mashine ina uwezo wa kuhudumia jamii yenye uhitaji mkubwa na Mdogo (Vipeto) wa kusaga zao la Mahindi na lishe.
2. Aina hii ya mashine ina uwezo wa kuzalisha kiasi cha Tani 4 (Ton 4) kwa siku na kupelekea ongezeko la bidhaa ya sembe na lishe kwenye jamii yetu.
3. Aina hii Mashine hufaa kwa wale wanao anza biashara kwa ajili ya kuzalisha unga wa sembe (packaging) na kutengeneza brand zao binafsi sokoni.
4. Aina hii ya mashine ni yenye gharama nafuu katika uendeshaji kwani hutumia matumizi madogo ya umeme ( Umeme wa 15,000 kwa 1Ton )
PAMOJA TUJENGE VIWANDA 🇹🇿🛠️
📞SIMU/WHATSAPP: +255746498349
📍SEHEMU: TABATA, DAMPO DAR ES SALAAM
“SAMAI AGRO WE MAKE YOUR FUTURE BRIGHT” 🌽🇹🇿
#dar #bagamoyo #kibaha #morogoro #chalinze #msoga #dodoma #mafinga #iringampya #njombe #mbeya #makambako #songea #lindi #masasi #mtwara #nachingwea #kahama #tabora #katavi #sumbawanga #zanzibarisland #geita #musoma #mara #pangani #mkulanga