takeer.com

Takeer

Takeer - Kila hatua ya kuitunza ngozi  uliyokua unaona uvivu kuifanya, kwenye kipindi cha ujauzito inabidi  sana kwenye mimba ujikaze ufanye

Kwasababu kati...
takeer.com
@pendokids
Kila hatua ya kuitunza ngozi uliyokua unaona uvivu kuifanya, kwenye kipindi cha ujauzito inabidi sana kwenye mimba ujikaze ufanye

Kwasababu katika hiki kipindi
Unaweza kupata mabadiliko makubwa ya ngozi yako kutokana na effect ya hormone

Wapo wanaobahatika kubaki vile vile walivyo hadi safari inaisha
Wapo wanaopata mabadiliko makubwa
Na wapo wanaopata mabadiliko ya mda mfupi.

Hutajua wewe ni kundi gani adi ufikie huu wakati
Lakini pia ,hutajua madhara kutulia na kungoja
Bora uendelee kuitunza ngozi yako
Ili maisha baada ya mimba yawe poa

Lakini pia Marula skin Oil imekua recommended Kwa Watu wenye

๐ŸงฃMakovu
๐ŸงฃStretch Marks
๐ŸงฃUneven skin tone
๐ŸงฃWatu wenye ngozi kavu

Ujazo: 200ml
Bei: 30,000
takeer.com
takeer.com
takeer.com
takeer.com
takeer.com
Play
takeer.com
takeer.com