@pendokids
Kila hatua ya kuitunza ngozi uliyokua unaona uvivu kuifanya, kwenye kipindi cha ujauzito inabidi sana kwenye mimba ujikaze ufanye
Kwasababu katika hiki kipindi
Unaweza kupata mabadiliko makubwa ya ngozi yako kutokana na effect ya hormone
Wapo wanaobahatika kubaki vile vile walivyo hadi safari inaisha
Wapo wanaopata mabadiliko makubwa
Na wapo wanaopata mabadiliko ya mda mfupi.
Hutajua wewe ni kundi gani adi ufikie huu wakati
Lakini pia ,hutajua madhara kutulia na kungoja
Bora uendelee kuitunza ngozi yako
Ili maisha baada ya mimba yawe poa
Lakini pia Marula skin Oil imekua recommended Kwa Watu wenye
๐งฃMakovu
๐งฃStretch Marks
๐งฃUneven skin tone
๐งฃWatu wenye ngozi kavu
Ujazo: 200ml
Bei: 30,000