Takeer
@halimacollectiontz
Body wash nzuri mno ukitoka kuoga unateleza ngozi balaa yani inanukia huchoki kuisikia harufu yake. Unapotoka kuoga unatamani kushika ngozi muda wote jinsi inavyoteleza👌
Delivery ipo mikoa yote🥰