@halimacollectiontz
Body wash zetu ni kubwa balaa na zimebaki chache snaaa , ujazo wake ni 2L wanaotumia hizi wanaelewa zilivyo nzur ukitoka kuoga unateleza kama mtoto na uzuri wa hii mnaogea familia nzima yani mnakua na ngozi nziri nyumba nzima mpaka watoto👌
2L45k
Delivery ipo mikoa yote🥰