@halimacollectiontz
Wewe unaogea nini boss wngu au ili mradi. Maji yapite tu 🥹hii shower ni balaa kwa kutakatisha ngozi na kuipa glow ngozi yani ukitoka kuoga ngozi inakua na mvuto inateleza aikaushi ngozi inaipa ngozi ule unyevu unaotakiwa kubakia ulimaliza kuoga wanaotumia wanaelewa ipo zaidi ya 🔥🔥
Delivery ipo mikoa yote👌