takeer.com

Takeer

Play
Mute
takeer.com
@halimacollectiontz
Hii tissue oil jamni ni nzuri snaa wale wenye stretch mark, weusi mapajani, makalioni, makwapani kiufupi yanatoa taka zote mwilini kama ngozi yako ipo rafu haina ile moisture nzuri hii sio ya kukosa🙌🏻waliitoka kujifungua ngozi imefubaa hii body oil inaenda kusawazisha ngozi vizuri snaa👌
Wale wa mikoa ya baridi hii body oil ni nzuri kwenu mno inaipa ngozi unyevu muda wote

Delivery ipo mikoa yote😍
takeer.com
Play
takeer.com
takeer.com
Play
takeer.com
takeer.com
takeer.com
takeer.com