@halimacollectiontz
Kuna mtu anataka ngozi nzuri na akienda bafuni yyeanavuta sabuni ya magadi kuogea 😂hivi unadhani ngozi nzuri inaanzia wapi jamni ,kama unataka kua na ngozi mtelezo hakikisha shower gel haikauki bafuni kwako 👌kwanza hii ni kubwa bana matumizi 2L unaogea na familia nzima na inanukia balaa ukitoka kuoga ngozi inateleza kama mtoto mchanga🙌🏻
Calll au watsap 0752902619