@koreanbeauty_tz
DR.CEURACLE VEGAN KOMBUCHA TEA ESSENCE AND TEA CREAM.
HIZI NI MOJA PRODUCTS NZURI SANA ZINAZOFANYA KAZI YA KUONDOA SUMU KWENYE NGOZI NA KUIFANYA NGOZI KUWA NA UPYA NA AFYA.
HYDRATION YA NGOZI NI MUHIMU FOR HEALTHIER LOOK.
KOMBUCHA TEA ESSENCE HUSAIDIA PIA KUIFANYA NGOZI INA UNYEVUNYEVU WA MUDA MREFU .
DR.CEURACLE KOMBUCHA TEA ESSENCE NA CREAM ZINASAIDIA PIA KUIPA NGOZI NURU HASA KWA NGOZI ZILIZOCHOKA NA KUFUBAA PIA.
NZURI KWA NGOZI AINA ZOTE..HASA DRY SKIN, COMBINATION SKIN AND SENSITIVE SKIN.
SASA ZINAPATIKANA KWA BEI YA JUMLA NA REJAREJA .
RETAIL PRICE.
DR.CEURACLE VEGAN KOMBUCHA TEA ESSENCE 70,000
DR CEURACLE VEGAN KOMBUCHA TEA GEL CREAM 70,000
TUNAPATIKANA SINZA MORI KITAMBAA CHEUPE.
TO PURCHASE CALL 📞 0711 612 370