@koreanbeauty_tz
KATIKA HATUA ZA UTUNZAJI WA NGOZI...YA KWANZA NA YA KUZINGATIA NI JINSI YA KUISAFISHA NGOZI..IWE SAFI TAYARI KWA KUPOKEA PRODUCTS ZINGINE ZA KUTIBU,KUILINDA AU KUITUNZA NGOZI.
@KOREANBEAUTY TUNA WATER BASED CLEANSER ZA AINA MBALIMBALI
ROUNDLAB CLEANSER
NZURI KWA NORMAL HATA COMBINATION SKIN...50,000
RICE WATER BRIGHT CLEANSER
NZURI KWA DRY AU COMBINATION SKIN...45,000
GREEN TEA CLEANSER
NZURI KWA OILY AU COMBINATION SKIN
45,000
GOODMORNING GEL CLEANER
NZURI KWA NORMAL AU OILY SKIN...45,000
SALICYLIC CLEANSER
NZURI KWA OILY AU ACNE PRONE SKIN
45,000
KUWEKA ORDER
TUANDIKIE DM AU WHATSPP LINK IN BIO
DIRECT CALL ๐ 0711 612 370
PIA UNAWEZA TEMBELEA OFISI YETU.
TUNAPATIKANA SINZA MORI JIRANI NA KITAMBAA
KARIBUNI SANA.