@lillies_cozyhomes
Wewe pia umechoka na changamoto ya kupata towel ambazo hazikidhi mahitaji yako?
❌Zinatoa nyuzi nyuzi
❌Ukijifuta haikaushi maji vizuri
❌unatumia mda mfupi tuu inakua imeisha
Polee kwa changamoto hizo!!
Karibu dukani kwetu tuna Towel nzuri sana ambazo zitakidhi mahitaji yako
Tunapatikana Sinza madukani na Tuna huduma ya delivery popote ulipo
Bei
Large size 45,000
Medium size 35,000
Small size 25,000
Handtowel 15,000
Facetowel 10,000
Towel set 100,000
Karibuni sana