@lillies_cozyhomes
Swipe➡️
Unatumia vigezo gani unapotaka kununua Towel yako??
Unaangalia rangi unayoipenda?
Unaangalia ukubwa?
material yaliyotengenezewa Towel?
Je unazingatia matumizi kabla hujanunua?
Unapotaka kununua Towel nzuri zingatia yafutayo
✅Material(cotton ni nzuri zaidi)
✅softness ya Towel
✅Matumizi
✅Thickness(namna nyuzi za Towel zilivofumwa)
Karibu sana dukani kwetu tuna aina zote za Towel pia tutakushauri kulingana na mahitaji yako.
📍sinza madukani
📞0745 439595